SIKU 10 ZA MICHEZO YA KIMATAIFA KUTAMATIKA WIKI HII
*Zifuate Odds Za Kibingwa Ukiwa Ndani Ya Meridianbet!
SAFARI ya siku 10 za michezo ya kimataifa zinamalizika wiki hii. Walioweza kukusanya pointi wamefanya hivyo, waliopoteza nafasi wamepoteza lakini wapo wanaoendelea kujitafuta kuelekea Kombe la Dunia, Qatar 2022. Wiki hii, mambo yapo hivi;
Croatia atachuana na Slovenia jumanne hii. Huu ni mchezo utakaozikutanisha timu za Kundi H ambapo, mpaka sasa timu hizi zimepishana kwa tofauti ya pointi 3 katika nafasi ya 2 na 3. Ushindi ndio kitu cha muhimu kwa timu zote katika kujihakikishia nafasi ya kucheza Kombe la Dunia mwakani. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.65 kwa Croatia.
Kwingineko Jumanne hii, Uholanzi watachuana na Uturuki katika mchezo wa Kundi G. Hizi ni timu vinara katika msimamo wa Kundi hili ambapo Uturuki anaongoza kwa alama 11 akifuatiwa na Uholanzi (pointi 10). Hakika, huu sio mchezo wa kuukosa. Zaidi ya machaguo 100 ndani ya Meridianbet, Ifuate Odds ya 1.29 kwa Uholanzi.
Jumatano kutachezwa michezo kadhaa. Mchezo kabamba kabisa utakua ni kati ya Poland vs Uingereza kunako Kundi I. Tofauti ya alama 5 kati ya Uingereza (vinara wa kundi) na Poland (nafasi ya 2 kwenye msimamo wa kundi). Kinachovutia zaidi ni uwepo wa wachezaji mahiri na miongoni mwa wachezaji bora Duniani kwa sasa. Harry Kane kuipeperusha bendera ya Uingereza dhidi ya Robert Lewandowski akiipeperusha bendera ya Poland. Hakika, ni patashika-nguo kuchanika. Tumekuwekea Odds ya 1.73 kwa Uingereza ukiwa na Meridianbet.
Tutahitisha siku ya 10 ya michezo ya kufuzu Kombe la Dunia kwa mchezo wa Iceland vs Ujerumani kunako Kundi J. Iceland ataingia kwenye mchezo huu akiwa na uchu mkubwa wa kutafuta pointi 3 na kujinasua kwenye nafasi ya 5 akiwa na pointi 4 baada ya michezo 5. Upande wa pili, Hansi Flick ataiongoza Ujerumani ambayo tayari imekusanya pointi 12 katika michezo 5 na sasa ni vinara wa kundi hilo. Mara nyingi, wanapokutana vinara dhidi ya wanaotafuta kujinasua – upinzani huwa ni mkali sana! Na ndani ya Meridianbet, ni vivyo hivyo!! Odds ya 1.23 inakusubiri kwa Ujerumani.
Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!
No comments: