RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AELEKEA KATIKA MIGODI YA TANZANITE KUREKODI KIPINDI MAARUFU CHA ROYAL TOUR KUITANGAZA NCHI DUNIANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Bomang`ombe Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro leo Sept 05,2021 alipokua njiani akielekea Marangu kwa ajili kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. 

  



No comments: