RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA MERERANI MKOANI MANYARA





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Mererani Mkoani Manyaara leo Sept 05,2021 kabla ya kuanza kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini.

Wananchi wa Mererani Mkoani Manyaara wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwasalimia leo Sept 05,2021 kabla ya kuanza kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.

No comments: