WAZIRI MOHAMED MCHENGERWA MGENI RASMI MAHAFALI YA 33 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt. Florence Turuka kulia akimkabidhi zawadi Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti wa Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa,kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt.Emmanuel Suleimani Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti wa Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma wakiwa katika mahafali ya 33 yaliyofanyika katikaKituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti wa Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya 33 Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021

Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti wa Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa,akizungumza na wahitimu wa kozi mbalimbali katika Mahafali ya 33 ya Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt Florence Turuka akizungumza na wahitimu wa kozi mbalimbali katika Mahafali ya 33 ya Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021





Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma wakiwa katika mahafali ya 33 yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyererejijini Dar es salaam Juni 5,2021Baadhi wa wahitimu wa Chuo cha Utumishi wa Umma wakiwa katika mahafali ya 33 yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyererejijini Dar es salaam Juni 5,2021



Sehemu ya wageni mbalimbali wakiwa katika Mahafali ya 33 ya Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika katikaKituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma wakitoa burudani

Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa kushoto akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt Florence Turuka wakati wa Mahamali ya 33 ya chuo hicho yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021 (kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt.Emmanuel Suleimani (Picha zote Emmanuel Massaka wa Mchuzi Tv)
Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa akiongoza maandamano ya Wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya 33 Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021



No comments: