Dkt. Abbasi Atoa Somo kwa Wadau wa Mawasiliano Katika Vilabu na Mashirikisho ya Michezo

Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi (katikati) akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo nchini mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Yusuph Singo na kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya Bw.Richard Mganga.

Katibu Mkuu nwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akitoa mada wakati wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo nchini mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu nwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akitoa mada wakati wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo nchini mapema hii leo jijini Dar es Salaam. 

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo, Yusuph Singo akizungumza na wadau wa Michezo wakati wa uzinduzi wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo nchini mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi na kushoto ni  HH Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya Bw.Richard Mganga.

Baadhi ya washiriki wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) Wakati wa uzinduzi wa warsha hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

 

Mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha ya mawasiliano ya kimkakati kwa wasemaji wa vilabu na mashrikisho ya Michezo nchini mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

Picha na WHUSM – Dar es Salaam

No comments: