MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KONDOA

 

 

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Kondoa mjini wakati akielekea Mkoani Dodoma

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Bereko wakati akitokea Babati mjini

Sehemu ya Wananchi wa Babati na Kondoa wakishangilia wakati Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia njiani wakati akielekea mkoani Dodoma leo tarehe 26 Oktoba 2020.


Leave a Comment

No comments: