MAJALIWA AMUOMBEA KURA DKT. MAGUFULI, WABUNGE NA MADIWANI WA CCM KATIKA KIJIJI CHA MKWITI WILAYANI TANDAHIMBA

 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiwaomba wananchi wa kijiji cha  Mkwiti wilayani Tandahimba  wampigie kura mgombea Urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Madiwani na Wabunge wa CCM, Oktoba 20, 2020. 

No comments: