MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KITANGALI, NEWALA VIJIJINI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuombea kura Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kitangali, Newala Vijijini, Oktoba 20, 2020. Wananchi wa Newala Vijijini wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kitangali, Newala Vijijini, Oktoba 20, 2020.
No comments: