Mgombea Urais wa CCM Rais Magufuli awahutubia Wananchi wa Same mkoani Kilimanjaro












Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli awahutubia Wananchi wa Same mkoani Kilimanjaro




Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Same mjini leo tarehe 20 Oktoba 2020.

 



Wananchi wa Same wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia Same mjini leo tarehe 20 Oktoba 2020.

 



.

No comments: