Nani Kutawala Fainali Kombe la Dunia 2026?

 


SIKU 5 zimebakia kwenda kuhsuhudia michuano ya Kombe la Dunia ambapo tayari vikosi vimeshajiandaa kwaajili ya kufanya vyema. Je timu gani kuchuana kwenye fainali?

Kule kwa wakali wa ubashiri Meridianbet tayari wameweka Odds za kibabe kwa watakaotinga Fainali ya michuano hiyo ambapo Fainali ya kwanza ni Hispania vs Uingereza. Hizi ndio timu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kucheza fainali wakiwa na Odds 13. Hispania chini ya Luis de la Fuente imekuwa na kikosi bora kabisa chenye uwezo wa kumiliki mpira, pasi nyingi, lakini pia na uwepo wa vipaji vikubwa.

Uwepo wa wachezaji kama Lamine Yamal, Pedri, Gavi, David Raya na wengine unawafanya wawe pendelea kufika Fainali. Kwa upande wa Uingereza pia chini ya Thomas Tuchel Taifa hilo limekuwa likifanya vizuri sana. Uwepo wa wachezaji wenye uzoefu wakiongozwa na Harry Kane unawafanya kuwa timu inayotarajiwa kufika fainali. Bashiri sasa hawa wawili kucheza Fainali hiyo Julai 19.

Pesa ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia Fainali nyingine ambayo tunaweza tukaishuhudia ni hii ya Hispania vs Argentina ambao ndio mabingwa watetezi wa michuano hii. Bado wakali wa ubshiri Tanzania wanaip sana nafasi kubwa Hispania kucheza fainali kwa mara nyingine kutokana na ubora ambao wlaionesha kwenye michuano ya Euro.

Argentina wao wakiongozwa na nahodha wao Lionel Messi wanatarajiwa kufika fainali pia kutokana na kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo hasa mara baada ya kushinda Kombe la Dunia 2022. Hawa ndio mabingwa wa Coppa America akini pia bado wana wachezaji wa kuifiksiha timu Fainali. Wawili hawa kucheza Fainali wamepewa Odds 15. Jisajili hapa.

Hispania vs Brazil hii ni fainali nyingine ambayo tunaweza kuishudia huko bara la Amerika ya Kusini ambapo Brazil mpaka sasa wanahitaji kushinda Kombe hili chini ya Carlo Ancelotti ambapo alimjumuisha Neymar kwenye kikosi hicho. Kama kawaida vijana wa de la Fuente wao wanapewa nafasi kubwa zaidi kucheza fainali.

Brazil wakiwa na mataji 5 hadi sasa huku mara ya mwisho wakichukua mwaka 2002, hivyo hii ni nafasi yao kuleta Kombe nyumbani. Uwepo wa Viniciuz Junior, Raphinha na wachezaji wengi wenye ubora unaweza ukawafanya wafike Fainali kwenye michuano hii. Fainali hii pale Meridianbet imepewa ODDS 15, ingia na ubashiri hapa.

Vilevile Meridianbet kwenye kuchakata wameona kuwa kwenye zile Top 5, Fainali nyingine inaweza kuwa hii ya Uingereza vs Ufaransa ambao wamewapa Odds 15. Uingereza mara ya mwisho kushinda Kombe la Dunia ilikuwa mwaka 1966 hivyo ni muda mrefu sana kwa vijana hawa kuchukua kombe hilo licha ya kuwa na vijana wenye uwezo mkubwa wa kufanya vyema wakiwemo, Bukayo Saka, Kane, Bellingham, na wengine kibao.

Lakini kwa upande wa Ufaransa wao wameingia Fainali mara mbili mfululizo ambapo moja wamebeba Kombe na nyingine wakaishia kuwa mshindi wa pili. Chini ya Deschamps wamezidi kuimarika na uwepo wa wachezaji wenye vipaji kama Olise, Doue, Mbappe, Kante na wengine wengi. Suka jamvi hapa.

Fainali ya 5 ni hii ya Hispania vs Ufaransa ambayo imepewa ODDS 20 pale kwa mabingwa wa ubashiri Meridianbet. Hii ni moja ya fainali ya kibabe ambayo inaweza ikatokea kwenye michuano hii kwani zitakutana timu ambazo zote zinawachezaji vijana wengi na wenye ubora wa hali ya juu hasa kwenye eneo la ushambuliaji.

Hii ni vita ya makocha wawili yaani Luis de la Fuente vs Deschamps huku kila mmoja akitaka kuonesha ubabe kwa mwenzake. Kila timu inataka kubeba ushindi lakini ja nani ataibuka mbabe?. Ni Mbappe au Yamal na wenzake? Tengeneza mkeka kwenye fainali hii leo.

No comments: