Rais Samia afuturisha Viongozi mbalimbali Mkoani Arusha

 



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Arusha pamoja na  makundi mbalimbali katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 08 Machi, 2025.










 Viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Arusha, wageni kutoka Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 08 Machi, 2025.








 

No comments: