RAIS MSTAAFU KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA NSSF











Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba, wakati alipotembelea banda la Mfuko kabla ya kufungua Maonesho ya 3 ya Viwanda na Biashara Mkoa wa Pwani. 


NSSF inashiriki Maonesho hayo kwa ajili ya kutoa elimu ya hifadhi ya jamii, kueleza fursa mbalimbali za Uwekezaji, kutatua kero za wanachama na kuandikisha wanachama kutoka sekta binafsi na sekta isiyo rasmi.

Maonesho hayo yanaendelea katika stendi ya zamani Mailimoja Kibaha Mkoani Pwani na yatafikia kilele tarehe   10/10/2022

No comments: