MKURUGENZI MKUU WA NSSF MASHA MSHOMBA AONGOZA KILELE CHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba, amewaongoza baadhi ya wafanyakazi wa NSSF kutoka Makao Makuu, Ilala, Temeke, Kinondoni, Kigamboni na Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, katika kilele cha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2022, kwa kufanya matembezi ya pamoja kuazimisha kilele cha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2022.














No comments: