Absa yazindua kadi ya malipo ya visa kwa wafanyabiashara
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga ( kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya Visa kwa wafanyabiashara ya benki ya Absa jijini Dar es Salaam Leo. Kushoto kwake ni Mkuu Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa benki hiyo, Ndabu Lilian Swere na Meneja wa Bidhaa za Wateja Binafsi wa Absa, Elfrida Mruma.
Mkuu Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Ndabu Lilian Swere ( katikati ), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya Visa kwa wafanyabiashara ya benki ya Absa. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa, Aron Luhanga na Meneja wa Bidhaa za Wateja Binafsi wa benki hiyo, Elfrida Mruma.
Meneja wa Bidhaa za Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Elfrida Mruma ( kulia ) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya Visa kwa wafanyabiashara ya benki ya Absa jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Mkuu Wa Kitengo cha wateja Binafsi wa Benki ya Absa, Bi. Ndabu Lilian Swere na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Aron Luhanga
No comments: