WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAFURAHIA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2022 NA MAAJABU HALISI YA COCA-COLA TANZANIA
Baadhi ya matukio yakionyesha namna jiji la Dar es Salaam lilivyosherehekea na Coca-Cola Tanzania katika kuukaribisha mwaka mpya wa 2022 mwishoni mwa wiki iliyopita. Kampuni hiyo kupitia kampeni yake inayoendelea ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ imekuwa ikiendesha matukio tofauti nchi nzima kwa kuwashirikisha watumiaji wa bidhaa zake.
No comments: