DCB kuwawezesha wanawake kiuchumi
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Biashara ya DCB, Pamela Nchimbi ( kushoto) akizungumza katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya fedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam jana. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.
Mkuu wa Wateja Binafsi wa Benki ya Biashara ya DCB, Fortunata Benedict akitoa elimu ya maswala ya fedha katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya Kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam jana. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.
Baadhi ya washiriki wakichangia mada katika kongamano la wanawake lililoandaliwa na Kampuni ya ushauri wa masuala ya kifedha ya Bridge Consult kwa udhamini mkuu wa Benki ya DCB jijini Dar es Salaam jana. Lengo la jukwaa hilo ni kubadilishana mawazo na kupeana ujuzi wa masuala ya kifedha, uwekezaji pamoja na maendeleo endelevu.
No comments: