Rais Samia Suluhu Hassan awasili Mkoani Mwanza

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza leo tarehe 08 Septemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kikundi cha ngoma za asili cha Chapakazi kilichokuwa kikitumbuiza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwanza leo tarehe 08 Septemba, 2021. PICHA NA IKULU



No comments: