Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na LSF wakutana na Chama cha Wanasheria Zanzibar


Afisa Mtendaji Mkuu wa LSF,  Lulu Ng’wanakilala akiwa katikati picha ya pamoja na  Katibu Mkuu Ofisi ya  Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Seif Shaaban Mwinyi  pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria  Tanzania Bara Bw Amon Mpanju wakati wa kikao na Chama cha Mawakili Zanzibar
Afisa Mtendaji Mkuu wa LSF bi Lulu Ng’wanakilala akifuatilia kikao kati ya Wizara ya Katiba na Sheria bara na visiwani chenye lengo la kuelewa utendaji wa Chama cha Mawakili Zanzibar pamoja kupeana uzoefu katika utekelezaji wa  huduma msaada wa kisheria nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiendesha kikao kilichoshirikisha chama cha mawakili Zanzibar
 

No comments: