Makabidhiano Ofisi ya Wakurugenzi Wilaya ya Shinyanga Yafanyika
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Nice R. Munissy (kushoto) akikabidhiwa Nyaraka Muhimu za Makabidhiano ya Ofisi na Mkurugenzi anayeondoka Bi. Hoja N. Mahiba kama Vitendea kazi vya Ofisi
kurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Nice R. Munissy (kushoto) akiklabidhiwa Nyaraka Muhimu za Makabidhiano ya Ofisi na Mkurugenzi anayeondoka Bi. Hoja N. Mahiba kama Vitendea kazi vya Ofisi
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bi. Nice R. Munissy wakikabidhiana Nyaraka Muhimu za Makabidhiano ya Ofisi na Mkurugenzi anayeondoka Bi. Hoja N. Mahiba kama Vitendea kazi vya Ofisi huku wakishuhudiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Ngassa S. Mboje.
No comments: