MWENGE WA UHURU WAWAFIKIA MEATU, WAZINDUA JENGO LA UPASUAJI
Kulia ni Kiongozi wa Mbio maalum za Mwenge wa Uhuru 2021 Luteni.Josephine Mwambashi akizindua jengo la upasuaji na wagonjwa wa nje kituo cha afya Mwandoya.
Mmoja Wa wakimbiza Mwenge akimpatia Mwenge Mkuu wa Wilaya ya Meatu.
Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mhe.Faidha Suleima akimkabidhi Mwenge Mkuu wa Wilaya ya Meatu Mhe.Fauzia Hamidu Mwenge Maalum wa uhuru 2021.
No comments: