UPDATES: SABAYA NA WENZAKE WASOMEWA MASHITAKA MATANO IKIWEMO LA UHUJUMU UCHUMI.

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watano, leo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kusomewa mashtaka matano ikiwemo la uhujumu uchumi, unyang'anyi kwa kutumia silaha, kushiriki vitendo vya rushwa kwa kupokea milioni 90. Wote wamekosa dhamana
 

No comments: