Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Botswana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Zawadi za Picha Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea na kuiangalia zawadi ya picha aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.
No comments: