ASKOFU GWAJIMA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI KUPATA KIVUKO CHA MUDA MTO NYAKASANGWA
Mbunge wa Jimbo la Kawe,Askofu Josephat Gwajima akizungumza na wananchi wa mtaa wa Mbopo na Madale kata ya Mabwepande wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam leo katika mkutano wakusiliza kero na kuhamasisha maendeleo ambapo amewaahidi wananchi kushirikiana nao iliwapate kivuko cha muda kwenye Mto Nyakasangwa wakiwa wanasubiri fungu kutoka serikalini la kutengezeweza daraja la kudumu.(Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Mbunge wa Jimbo la Kawe,Askofu Josephat Gwajima (Mwenye kofia,)akiwasikiliza wananchi wa mtaa wa Mbopo na Madale baada ya mkutano kumalizika, kulia ni Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mbopo, Mohamed Bushir. Mkutano ukiendeleaMbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajimaakiwasiliza wananchi wa mtaa wa Mbopo na Madale baada ya mkutano kumalizika wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mbopo,Mohamed Bushir.Mbunge wa Jimbo la Kawe,Askofu Josephat Gwajima (Mwenye kofia) akiwa ameongozana na viogozi wa Mtaa wa Mbopo na Madale akivuka mto Nyakasangwa. (Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv.)Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mbopo, Mohamed Bushir (watatu kushoto). Akiwa katika picha pamoja na wananchi.
No comments: