RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AONGOZA MAMIA WA WANANCHI WA ZANZIBAR KATIKA HITMA YA KUMUOMBEA ALIYEKUWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIF HAMAD LEO


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Mamia ya Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha  Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Mamia ya Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha  Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita  Alhajj Dk. Amani Karume.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa  Zanzibar wakishiriki katika kisoma cha Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha Hitma kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Lela Mohamed Mussa.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Mamia ya Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha  Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Alhajj Dk. Amani Karume.(Picha na Ikulu)


SHEIKH Abubakar Al-Khashim akihitimisha kisomo cha Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa hafla ya kisomo cha Hitma kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

No comments: