RAIS DKT.MAGUFULI, ACT WAZALENDO WATUMA SALAMU ZA POLE KUFUATIA KIFO CHA MAALIMU SEIF SHARIF HAMAD
RAIS Dkt.John Pombe Magufuli ametoa salamu za pole kwa Rais wa Zanzibar Dkt.Hussein Mwinyi, Familia, Wazanzibari, wanachama wa ACT Wazalendo na Watanzania wote kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kilichotokea leo Februari 17,2021 katika Hosptali ya Muhimbili alikokuwa akipewa matibabu.
No comments: