MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA ASHIRIKI KUAGA MWILI WA BALOZI KIJAZI

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiaga Mwili wa Marehemu Mhandisi Balozi John William kijazi leo Febuari 19,2021 katika Viwanja vya kareem Jee Jijini Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla katika Viwanja vya Kareem Jee Jijini Dar es salaam leo Febuari 19, 2021 wakati wa Ghafla ya  Mwili wa Marehemu Mhandisi Balozi John William kijazi. katikati ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuifariji Familia ya Marehemu Mhandisi Balozi John William kijazi baada ya kumalizika kwa Ibada na Misa Maalum kwa ajili ya kumuombea Marehemu Balozi Kijazi leo Febuari 19,2021 katika Viwanja vya kareem Jee Jijini Dar es salaam. (Picha nna Ofisi ya Makamu wa Rais).

No comments: