MABADILIKO YA KIDIJITALI KUFUNGUA FURSA MPYA SHIRIKA LA POSTA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akifunga kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma, kulia ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) …….wa pili kushoto ni Katibu Mku wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula akifuatiwa na Naibu wake Dkt. Jim Yonazi (kushoto) na Postamasta Mkuu Hassan Mwang’ombe wa pili kulia.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Younouss Djibrine akimkabidhi kompyuta mpakato kwa mmoja wa Mameneja wa Posta wakati wa kufunga kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma, wa tatu kulia ni Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wa pili kulia ni  Postamasta Mkuu Hassan Mwang’ombe, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi.

Baadhi ya mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania wakimsikiliza Waziri wa wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile alipokuwa akifungua rasmi kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula na Naibu wake Dkt. Jim Yonazi akimkabidhi kompyuta mpakato kwa mmoja wa Mameneja wa Posta wakati wa kufunga kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma 

akizungumza katika kabla ya kufungwa kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Faustine Ndugulile  na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akikabidhi kompyuta mpakato kwa Meneja Mkaazi Zanzibar wakati wa kufunga kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma, kulia Postamasta Mkuu Hassan Mwang’ombe.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula akizungumza katika kabla ya kufungwa kikao kazi cha Menejimenti na Mameneja wa Mikoa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) jijini Dodoma. Kulia ni Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Faustine Ndugulile  na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi.

No comments: