Mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar amefariki Dunia.
Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi ametangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Taarifa kamili tunaileta hivi punde.
No comments: