NDEJEMBI AENDELEA NA ZIARA YA KUJITAMBULISHA NA KUHIMIZA UWAJIBIKAJI KWA TAASISI ZAKE
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na Watumishi wa
Mamlaka ya Serikali Mtandao (hawapo pichani) leo Jijini Dodoma wakati
wa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kufahamiana na watumishi wa
Mamlaka hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabiri
Bakari akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi yake
kwa Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi (hayupo pichani) wakati wa
ziara ya kikazi ya Mhe. Ndejembi aliyoifanya leo katika Mamlaka hiyo
Jijini Dodoma kwa lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na
kuhimiza uwajibikaji.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) Dkt. Jabiri
Bakari akimwonyesha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi kitabu
chenye taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Mamlaka yake wakati wa
ziara ya kikazi ya Mhe. Ndejembi aliyoifanya leo katika Mamlaka hiyo
Jijini Dodoma kwa lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na
kuhimiza uwajibikaji.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma naUtawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) wakati wa ziara yake ya kikazi leo Jijini Dodoma yenye lengo la kufahamiana na watumishi wa Mamlaka hiyo na kuhimiza uwajibikaji.
No comments: