KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA MBEZI LUIS
Wananchi wakindeleaana kujipatia mahitahi yako katika kituo cha Daladala Mbezi Luis wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam.
Bei ya fungu la viazi katika kituo cha Daladala Mbezi Luis wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam fungu linaanzia shilingi 1000 hadi 2000.
Bei ya fungu la Maenbe kati ya sh.1000/= mpaka 2000/= katika kituo cha Daladala Mbezi Luis wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam kama inavyo onekana katika picha.
Baadhi ya wananchi wa maneo mbalimbali katika jiji la Dar es salaam wakiwa katika kituo Daladala Mbezi Luis wilaya ya Ubungo wakijipatia mahitaji yao mbalimbali ambapo fungu la Nyanya ni shiling 500 mpaka 1000,karoti fungu ni shiling 1,000 mpka 2,000 pilipili fungu shiling 500, hoho fungu fungu 500.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi)
No comments: