KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA MBEZI LUIS

Wananchi wakindeleaana kujipatia mahitahi yako katika kituo cha Daladala Mbezi Luis wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam.
Bei ya fungu la viazi katika kituo cha Daladala Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam fungu linaanzia  shilingi 1000 hadi 2000.
Bei ya fungu la Maenbe  kati ya  sh.1000/= mpaka 2000/= katika kituo cha Daladala  Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam kama inavyo onekana katika picha.
Baadhi ya wananchi wa maneo mbalimbali katika jiji la Dar es salaam wakiwa katika kituo Daladala Mbezi Luis  wilaya ya Ubungo wakijipatia mahitaji yao mbalimbali ambapo fungu la Nyanya ni shiling 500 mpaka 1000,karoti fungu  ni shiling 1,000 mpka 2,000 pilipili fungu shiling 500, hoho fungu fungu 500.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi)

No comments: