Inter Milan Kuwavaa AS Roma Jumapili Hii!
*Serie A Kuunguruma Wikiendi Hii, Jiji la Milan vs Rome!!
Ligi Soka nchini Italia – Serie A kutupa burudani safi Jumapili hii. Inter Milan vs AS Roma sio mchezo wa kuubeza.
Huu ni mchezo unaozikutanisha timu 2 zenye majina makubwa na heshima kubwa kwenye Serie A. Unatukumbusha majina ya wachezaji kama Ronaldo De Lima na Fransisco Totti miongoni mwa magwiji waliocheza kwenye vilabu hivi.
Msimu huu kila timu imekuwa na matokeo ya aina yake. Katika mashindano ya Ulaya, Inter wameangukia pua msimu huu wakitupwa nje ya Ligi ya Mabingwa na kuikosa Ligi ya Europa. Roma wao wamefuzu hatua ya mtoano kwenye Ligi ya Europa kwa kuwa vinara wa kundi lao.
Katika michezo 6 ya mwisho kwa kila timu, Inter na Roma wote wamepoteza mchezo 1 na kushinda michezo 5. Roma anaingia kwenye mchezo huu akitoka kwenye ushindi dhidi ya Crotone. Inter anaingia kwenye mchezo huu akiwa na machungu ya kufungwa na Sampdoria kwenye mchezo uliopita.
Kitakwimu, katika michezo 60 ambayo Inter wamechuana na Roma, Inter ameshinda 21, Roma kashinda 17 na wametoka sare mara 22.
Kwa upande wa uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, ni vita kati ya wachezaji wawili ambao walitua kwenye vilabu hivyo wakitokea EPL. Henrik Mkhitaryan dhidi ya Romelu Lukaku hapatoshi Jumapili hii.
Mchongo mzima upo Meridianbet. Wataalamu wa Meridianbet wamekuwekea odds za mchezo huu hapa.
Jisajili na Meridiabet hapa hapa. na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.
No comments: