NBAA YATOA TUZO ZA UMAHILI KATIKA UANDAAJI WA TAARIFA ZA FEDHA YA MWAKA 2019 KWA MAKAMPUNI, TAASISI PAMOJA NA MASHIRIKA
Mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja akisoma hotuba ya kufunga mafunzo pamoja na utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) CPA Prof. Isaya Jairo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo pamoja na utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) CPA Pius Maneno akitoa historia fupi ya utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mgeni rasmi pamoja na wadau mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika Hotel ya APC Bunju Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau waliofika kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam
Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea tuzo kutoka kwa mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja ya mshindi wa pili ya umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) katika kipengele cha Mamlaka za maji.
Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja akipongezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) CPA Prof. Isaya Jairo mara baada ya kupokea tuzo ya mshindi wa pili ya umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) katika kipengele cha Mamlaka za maji.
Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA, Mhandisi Cyprian Luhemeja akipongezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) CPA Prof. Isaya Jairo mara baada ya kupokea tuzo ya mshindi wa pili ya umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) katika kipengele cha Mamlaka za maji.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dkt. Edwin Mhede akipokea tuzo kutoka kwa mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019 (Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards).
Mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja (kushoto), akikabidhi tuzo kwa Viongozi mbalimbali wa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika yaliyofanya vizuri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019(Best Presented Financial Statements for the Year 2019Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA)
Mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa kwanza wa tuzo za uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019(Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) .
Mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa pili wa tuzo za uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019(Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) .
Mgeni rasmi Kamishna anayesimamia Sekta Ndogo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamaja akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa tatu wa tuzo za uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2019(Best Presented Financial Statements for the Year 2019 Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) .
No comments: