JWTZ YAWAPIMA AFYA MABONDIA WATAKAOCHEZA USIKU WA MABINGWA DISEMBA 26 MWAKA HUU.

 

Bondia Abdalah Pazi wa Pazi maarufu Dullah Mbabe (kulia ) akipata vipimo mbele ya Madaktari kutoka JWTZ ikiwa ni sehemu kuadhimisha miaka 59 ya uhuru Bondia huyo anataraji kucheza pambano la Usiku wa Mabingwa Desemba 26 .

Bondia Ismail Galiatano  (kushoto) akipata vipimo kutoka kwa Koplo Felister Masawe JWTZ ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 59 ya uhuru Bondia huyo anataraji kucheza pambano la Usiku wa Mabingwa Desemba 26 .

Baadhi ya Madaktari kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Wakiwa Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam na Mabondia wanaotaraji kucheza Desemba 26 katika Usiku wa Mabingwa walipofika kupima afya ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 59 ya Uhuru.

Daktari wa Macho kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Mteule Daraja la Pili Justine  Mgonja kushoto katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 59 ya Uhuru.

Bondia wa Ngumi za Kulipwa Tonny Rashid  (kushoto ) aliyevaa kifaa cha kupimia macho akipata vipimo mbele ya Madaktari kutoka JWTZ ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 59 ya uhuru Bondia huyo anataraji kucheza pambano la Usiku wa Mabingwa Desemba 26 .
*****************************************

WATAAALAM KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA IKIWA NI KUADHIMISHA SIKU YA UHURU WAMEWAPIMA AFYA MABONDIA WA NGUMI ZA KULIPWA NCHINI WATAKAOSHIRIKI PAMBANO LA USIKU WA MABINGWA JIJINI DAR ES SALAAM.

MIONGONI MWA MABONDIA HAO NI DULA MBABE NA TONNY RASHID WALIOFIKA UWANJA MNAZI MMOJA WAMETOA PONGEZI KWA JWTZ KUTOKANA NA MCHANGO WAO KATIKA SEKTA YA AFYA…..INSERT DULA MBABE BONDIA. insert Tonny rashid Bondia.
KWA UPANDE WAO MABONDIA ISSA NAMPEPECHE NA ISMAIL GALIATANO WASEMA UPIMAJI HUU UNATOA CHACHU YA WANANCHU KUFUATILIA MWENENDO WA AFYA ZAO…..INSERT ISMAIL  GALIATANO.
NAYE MKUU WA ZOEZI HILO NA MGANGA MKUU WA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO BRIGEDIA JENERALI DR FREDY KIVAMBA  AMESEMA WAMEJIPANGA KUHUDUMIA WAGONJWA WOTE WATAKAOJITOZA.

No comments: