RAIS WA ZANZIBAR DK HUSSEIN ALI MWINYI ALIHUTUBIA BARAZA LA KUMI LA WAWAKILISHI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa na Kikosi cha FFU, kwa ajili ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar,
hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani leo 11/11/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati wa hafla ya ufunguzi wa Baraza hilo leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.
Baadhi ya wageni wakimsikiliza RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati wa hafla ya ufunguzi wa Baraza hilo leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.
Marais Wastaaf wakifuatrilia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akilihutubia Baraza leo wakati wa ufunguzi huo wa kwanza Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi. Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.DSkt. Amani Karume,Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dk. Ali Mohammed Shein na Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar leo.
(Picha na Ikulu)
No comments: