Michuano ya Kulisaka Kombe la Dunia 2022, CONMEBOL Kuendelea Wiki hii

*Peru Kuwakaribisha Argentina

MATAIFA ya Amerika yanaendelea na harakati za kuisaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia 2022. Michezo ya Kufuzu CONMEBOL inaendelea tena wiki hii, Peru wakiwakaribisha Argentina siku ya Jumatano. Huu ni mchezo wa aina yake katika historia ya soka la Amerika.

Argentina atakuwa uwanjani akijaribu kurudi kwenye ubora wake kwa kushinda kila mchezo. Baada ya kuanza vizuri michezo ya mwanzo kwa ushindi dhidi ya Ecuador na Bolivia, miamba hii ya soka la Amerika walijikuta wakiambulia alama 1 kwenye mchezo dhidi ya Paraguay. Matokeo haya yanawafanya Argentina kushika nafasi ya 2 katika orodha ya timu 10 zinazowania nafasi ya kucheza Kombe la Dunia 2022, nafasi ya 1 ikishikiliwa na Brazil.

Upande wa pili, Peru ambayo inaongozwa na mchezaji wa zamani wa Argentina – Ricardo Gareca, watakuwa uwanjani wakitafuta ushindi wao wa kwanza katika mchakato huu. Mashindano haya ni fursa kwa Peru ambao wanatafuta tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia 2022 kwa mara 6 katika historia ya soka la nchi hiyo. Michezo ya mwanzo, Peru walipoteza dhidi ya Brazil na Chile na waliambulia pointi 1 dhidi ya Paraguay.

Katika michezo 5 ya mwisho kwa timu hizi kukutana. Argentina ameshinda mara 2 na wametoka sare mara 3. Peru haijapata ushindi dhidi ya kikosi cha Argentina kinachoongozwa na Lionel Messi akiwa na Lautaro Martinez, Angel Di Maria na Giovanni Lo Celso miongoni mwa wachezaji wengine.

Kwa ujumla, Peru na Argentina wameshakutana mara 54. Peru ameshinda mara 7, Argentina ameshinda mara 33 na wametoka sare mara 14.

Argentina ataendeleza ubabe dhidi ya Peru au ni Peru atapindua meza na kuonesha uwezo wake mbele ya Argentina?

Kwa upande wa Odds za mechi hii ni za uhakika na zinavutia. Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.

Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakufanya kuwa mshindi!

Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. 

Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, Tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian - Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

No comments: