MATUKIO; DKT. BASHIRU AFUNGUA KIKAO CHA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (CCM)

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally akifungua Kikao cha siku mbili cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Kamati za Utekelezaji za Jumuiya za Chama - UVCCM, UWT NA WAZAZI ukumbi wa White House jijini Dodoma leo.










No comments: