MGOMBEA URAIS CCM RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MINJIGU MBUYU WA MJERUMANI AKIWA NJIANI KUELEKEA BABATI

 


 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na Wananchi wa  Minjigu mbuyu wa mjerumani akiwa njiani  kuelekea Babati

Wananchi wa Minjigu mbuyu wa mjerumani wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa njiani  kuelekea Babati.

No comments: