MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA NSIMBO NA KIDAHWE NJIANI AKIELEKEA UVINZA MKOANI KIGOMA
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kidahwe mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Sehemu ya wananchi wa Kazuramimba mkoani Kigoma wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika mji huo kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
No comments: