Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe wazindua kampeni



Na Amiri Kilagalila,Njombe

Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe,wamezindua kampeni zao rasmi katika uwanja wa Polisi mjini Makambako tayari kwa ajili ya kuendelea na kampeni za kunadi Ilani kwa wananchi ili kupata ridhaa ya kuongoza serikali 2021-2025.





No comments: