BAKITA yaendelea la Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira


Mgeni Rasmi na Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Method Samuel akisisitiza jambo kwa washiriki wa semina ya Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi na Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Method Samuel akisisitiza jambo kwa washiriki wa semina ya Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira (hawapo pichani) iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Kaimu Katibu Mtendaji wa BAKITA, Bi. Consolata Mushi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Sanaa toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Leah Kihimbi akichangia mada wakati wa semina ya Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Sheria Mkuu toka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Bi. Angela Kileo akichangia mada wakati wa semina ya Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa lugha ya Kiswahili wakiendelea na majadiliano wakati wa semina ya Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa lugha ya Kiswahili wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi na Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Dkt. Method Samuel (aliyevaa tai) mara baada ya kumaliza semina   ya Usanifishaji wa Istilahi za Mazingira iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam.
11/09/2020

No comments: