WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI CHA BAGAMOYO NA KUKAGUA MASHAMBA YA MIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la miwa la Bagamoyo Sugar linalomilikiwa na makampuni ya Bakhresa wakati alipotembelea mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika sukari na shamba la miwa la kampuni hiyo wilayani Bagamoyo, Agosti 18, 2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijionea shughuli mbalimbali za maabara ya Kampuni ya Bagamoyo Sugar ambayo inayojenga kiwanda cha kusindika sukari na kulimia miwa wilayani Bagamoyo, Agosti 18, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments: