VIJANA WATATU WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO WAMEKAMATWA WAKIWA NA KISU NA NONDO


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Stanley Kulyamo akionyesha kisu na nondo mbili zilizoviringishwa bendera  za ACT WAZALENDO ambazo walikamatwa nazo vijana watatu kwenye Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Ruangwa, Agosti 24, 2020.  Alikuwa akizungumza na  Waandishi wa habari kwenye Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Ruangwa, Agosti 24, 2020.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Stanley Kulyamo akionyeshwa nondo mbnili zilizoviringishwa bendera  za ACT WAZALENDO ambazo walikamatwa nazo vijana watatu kwenye Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Ruangwa, Agosti 24, 2020. Alikwa akizungumza na  Waandishi wa habari kwenye ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Ruangwa.

No comments: