MTOTO PASCHAL MOSHI ANATAFUTWA AMEPOTEA

Mtoto Paschal Moshi anaishi Ndugumbi Mpakani Argentina Manzese jijini Dar es Salaam na kusoma shule ya msingi Kimara Baruti, darasa la sita umri miaka 13 anatafutwa na wazazi wake baada ya kutoroka nyumbani na kwenda kusikojuikana

Kwa yeyote atakayekuwa na taarifa atoe katika kituo chochote cha Polisi MAG/RB/2075/2020 au simu 0783817933

No comments: