BODI YA MIKOPO YAFIKA WILAYA YA CHATO NA BUKOMBE MKOANI GEITA KUTOA ELIMU KWA WAOMBAJI MIKOPO ELIMU YA JUU
Meneja Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Kanda ya Ziwa, Usama Choka (kushoto) akifafanua jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita Philip Shoni wakati walipofika Ofisini kwake kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kuanza zoezi la utoaji elimu kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita na Stashahada Wilayani humo. Kulia ni Afisa Mikopo wa HESLB Jonathan Nkwabi. Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 29, 2020) katika shule ya Sekondari Chato. Mkoani Geita
Maafisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) wa pili kutoka kushoto Usama Choka, Winfrida Wumbe na Jonathan Nkwabi wakiwa nje ya Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Chato muda mfupi kabla ya kuanza kuanza zoezi la utoaji elimu kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita na Stashahada Wilayani humo. Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 28, 2020) katika shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Chato, Benard Majura (katikati) akifurahia jambo kwa pamoja na Maafisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) muda mfupi kabla ya kuanza zoezi la utoaji elimu kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita na Diploma Wilayani humo. Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 29, 2020) katika shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita.
Meneja Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Kanda ya Ziwa, Usama Choka akizungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari Chato na Shule ya Wasichana ya Jikomboe pamoja na wahitimu wa masomo ya kidato cha Sita katika shule mbalimbali Wilayani Chato wakati wa zoezi la utoaji elimu kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita na Stashahada Wilayani humo. Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 29, 2020) katika shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita.
Meneja Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Kanda ya Ziwa, Usama Choka (kushoto) akifafanua jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita Philip Shoni wakati walipofika Ofisini kwake kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kuanza zoezi la utoaji elimu kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita na Stashahada Wilayani humo. Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 29, 2020) katika shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita.
Afisa Mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Nkwabi akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizotolewa na wahitimu wa masomo ya kidato cha Sita na wanafunzi wanaoendelea na masomo ya kidato hicho wakati wa zoezi la utoaji elimu kuhusu matumizi ya mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 29, 2020) katika shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita.
Baadhi ya wahitimu wa masomo ya kidato cha sita katika shule mbalimbali Wilayani Chato Mkoani Geita wakifuatilia kwa makini mafunzo yaliyotolewa na Maafisa wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuhusu matumizi ya mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 29, 2020) katika shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita.
Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu Arusha, Mahila Matulo akichangia hoja wakati wa wakati wa zoezi la utoaji elimu kuhusu matumizi ya mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2020/2021 lililoendeshwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 29, 2020) katika shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita.
Baadhi ya Walimu Wakuu wa Shule mbalimbali za Sekondari Mkoani Geita wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) muda mfupi baada ya kumalizika kwa mafunzo ya kuhusu matumizi ya mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2020/2021 lililoendeshwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB). Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 29, 2020) katika shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita.
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) Jonathan Nkwabi akitoa ufafanuzi wa wa hoja mbalimbali zilizotolewa na wahitimu wa masomo ya kidato cha Sita na wanafunzi wanaoendelea na masomo ya kidato hicho wakati wa zoezi la utoaji elimu kuhusu matumizi ya mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Mafunzo hayo yalifanyika leo Jumatano (Julai 29, 2020) katika shule ya Sekondari Runzewe, Bukombe, Mkoani Geita.
(PICHA NA BODI YA MIKOPO -HESLB)
No comments: