TANGA UWASA KUTUMIA FEDHA ZA NDANI KUENDELEZA HUDUMA YA MAJI MARUNGU
Mkuu wa Kitengo cha Ufundi Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini
Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Rashid Shabani akizungumza wakati wa
mkutano huo
Afisa huduma kwa Wateja Tanga Uwasa ambaye kwa sasa ni Kaimu Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa Wateja Rogers Machaku akizungumza wakati wa mkutano huo kushoto anayemfuatilia kwa umakini ni Afisa Uhusiano wa Tanga Uwasa Devotha Mayala
Afisa Uhusiano wa Tanga Uwasa Devotha Mayala akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo
Meza kuu wakifuatilia matukio mbalimbali kwenye mkutano huo
sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano huo
Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Rashid Shabani akizungumza wakati wa
mkutano huo
Afisa huduma kwa Wateja Tanga Uwasa ambaye kwa sasa ni Kaimu Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa Wateja Rogers Machaku akizungumza wakati wa mkutano huo kushoto anayemfuatilia kwa umakini ni Afisa Uhusiano wa Tanga Uwasa Devotha Mayala
Afisa Uhusiano wa Tanga Uwasa Devotha Mayala akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo
Meza kuu wakifuatilia matukio mbalimbali kwenye mkutano huo
sehemu ya wananchi wakifuatilia mkutano huo
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) imesemakwamba watatumia fedha za ndani kuendeleza mradi wa maji Marungu kadriwatakavyoweza ili mabomba yaweze kuwafikia wananchi kwa ukaribu iliwanapoomba kuunganishiwa huduma hiyo iwe karibu kuliko ilivyo sasa.
Mradi huo ulianza mwaka 2013 kwa ufadhili wa Serikali kupitia Programuendelevu katika sekta ya maji ukisimamiwa na Halmashauri ya Jiji laTanga kabla ya Tanga Uwasa kukabidhiwa mwaka huu ili kuweza kuusimamiamradi huo na kuuendeleza
Hayo yalisemwa na Mhandisi wa Ufundi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Rashid Shabani katika mkutano wa hadhara ulioitishwa na viongozi wa kata hiyo ambapo mamlaka hiyo ilipata nafasi ya kualikwakuhudhuria na kuweza kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya maji.
Alisema baada ya kukabidhiwa mradi huo hivi sasa wanaangalia miundombinuiliyokuwepo na mahitaji yaliyopo katika mji wa Marungu ili kuanza maramoja shughuli za uendelezaji wa mradi huo ili kuweza kusogeza huduma yamaji karibu na wananchi hatua itakayosaidia kuondosha kero hiyo.
“Mradi huu baada ya kukabidhiwa sasa tumejipanga kutumia fedha za ndani kadrituwezavyo kuendeleza mradi huu na mabomba kuwafikia wananchikuwaunganishia maji kwa karibu kuliko ilivyo sasa hivi inaonekana bombolimepita kwenye njia moja na ni kuu hivyo kwa mtu anayetaka maunganishonyumbani kwaka anaweza kuwa mbali hivyo tutaendeleza yaweze kupitakwenye mita mbalimbali”Alisema
Hata hivyo Mhandisi huyo aliwataka wananchi wanaoomba maji kuhakikisha barua zao zinapita kwenye uongozi wa mtaa au kata ili kudhibitisha anapokaa ni kwake kwa sababuwanaweza kuomba ukakuta kiwanja kina mgogoro na wao hawataki kuwekamiundombinu eneo lenye mgogoro kwa sababu hizo ni fedha za serikali naukiwekeza sehemu ambayo sio sahihi utapata hasara.
Mhandisi huyo alisema tayari wataalamu wao wamekwisha kufika kwenye maeneo hayokuweza kuona vioski vya kuchotea maji vinasimamiwa na watu gani na hayomaji wamepewa dhamana ya kuyasimamia na ikifika wakati wanaulizwa namnawalivyousimamia na kufikisha huduma kwa wananchi.
Awali akizungumza katika mkutano huo Diwani wa Kata ya Marungu (CCM) MohamedMambea aliishukuru Tanga Uwasa kwa kufika kwenye mkutano huo baada yakuwafuata ombi lake la kuwataka wataalamu wa mamlaka hiyo kuewaelezawananchi ni lini wanaweza kufanikiwa kufikishia maji majumbani mwao.
“Nishukuru kwenye Kata yangu maji yamefika lakini hakuna mwananchi ambaye amwezeakuunganishiwa maji nyumbani kwake nah ii imekuwa ni kero kubwa hivyotukaona tuwaalike kulizungumzia suala hilo ili liweza kupatiwa ufumbuzi“Alisema
No comments: