SEKRETARIETI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU WAFANYA KIKAO CHA KUPENDEKEZA MAREKEBISHO YA SHERIA

Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus Fella, akifafanua jambo kuhusu Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu katika Kikao cha Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara za serikali kwa ajili ya kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho kimefanyika, Jijini Dodoma leo.
Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus Fella (Wa kwanza Kulia) akifafanua jambo kuhusu Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu katika Kikao cha Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara za Serikali kwa ajili ya kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho kimefanyika, Jijini Dodoma leo.
Kamishna Msaidizi wa Magereza, Kitengo Cha Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Ahmed Mwen-dadi (Aliyesimama) akifafanua jambo kuhusu Mwenendo na Jitihada za kukabiliana na Biashara Haramu katika Kikao na Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara za Serikali kwa ajili ya kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho kimefanyika, Jijini Dodoma leo.
Afisa Mwandamizi, Kitengo Cha Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Alex Lupilya (Aliyesimama) akielezea mafanikio yaliyopatikana kupitia Sekretarieti ya Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu katika Kikao cha Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara za Serikali kwa ajili ya kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho kimefanyika, Jijini Dodoma leo.
Wadau wa Sheria wa Wizara na Idara za Serikali wakimsikiliza, Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu, Seperatus Fella (hayupo pichani) alipokuwa akifafanua jambo kuhusu Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu katika Kikao cha Wadau hao kwa ajili ya kupendekeza marekebisho ya Sheria hiyo, Kikao hicho kimefanyika, Jijini Dodoma leo.

No comments: