BAADA YA UAPISHO IKULU LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja   Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta watatu kutoka kulia mara baada ya hafla fupi ya uapisho. Wengine katika picha ni Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Laurian Ndumbaro, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Pima wakwanza kulia mstari wa mbele, Jerry Mwaga Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua wakwanza kushoto, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bakari Msulwa wapili kutoka kushoto, Mkuu wa Wilaya ya Monduli ACP Edward Balele wapili kutoka kulia pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Kenan kihongosi. Mstari wa Nyuma waliosimama ni Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka pamoja na Katibu Mkuu TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga.

No comments: