WAKAZI WA LUDEWA WALIVYONUFAIKA NA MSAADA WA BARAKO KATIKA KUJIKINGA NA COROMA
Mwenyekiti wa vijana CCM wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe (kulia) akiwa na diwani wa kata hiyo Monica Mchiro pamoja na wanachama wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya bodaboda katika zoezi la ugawaji barakoa.
Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Ludewa mkoani njombe wakiwa katika zoezi la ugawaji wa barako kwa waendesha bodaboda na wafanyabiashara ndogo ndogo Ludewa mjini. Kutoka kulia ni katibu wa umoja wa wanawake wilaya Flora Kapalia, Mwenyekiti wa vijana wilaya Theopista Mhagama, mwenyekiti wa hamasa wilaya Salum Mohamed, Katibu wa wazazi wilaya na Diwani wa kata ya Ludewa Monica Mchiro
Mwenyekiti wa vijana CCM Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe Theopista Mhagama akigawa barakoa eneo la soko la Ludewa mjini
No comments: