TANGAZO LA KUMBUKUMBU YA MZEE NOVATI RUTAGERUKA



MAREHEMU MWALIMU NOVATI SIMEON RUTAGERUKA

TAREHE 5 - MEI - 2020, UMETIMIZA MIAKA KUMI TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI.  PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA. 

UNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WAKO ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI. NI IMANI YETU KUWA MWENYEZI MUNGU AMESHAWAKUTANISHA HUKO MBINGUNI NA MPENDWA MKEO THERESIA NYAMICHWO NA BINTI YAKO MPENDWA FROLIDA AMBAO NAO WAMETWALIWA NA BWANA.

IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU NOVATI RUTAGERUKA ITAADHIMISHWA SIKU YA JUMANNE TAREHE  5 - MEI - 2020, KATIKA KANISA LA MTAKATIFU GASPER, MBEZI BEACH, DAR-ES-SALAAM SAA 12.00 ASUBUHI. BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE. AMINA


No comments: